Leo kitanda nimeamishia sebuleni hapa hakuna kulala.hii kali,yani kwamaba hadi tuone mwamba au sio?
mie nafikiri asali na hawa dada zetu waliojaaliwa🥰😍Iyo asali sijui waga wanailamba akinanani maana nasikiaga ni nyingi sana 🤔🤔🤔
Sawa basi hasubui umpe taarifa zanguHapana wala mimi sio mchoyo hivyo...kizuri kula na nduguyo....
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani offer ya supu unanijaza mpaka 5000 we mwanamke sio wa mchezo mchezo [emoji119]Ongeza Ongeza ifike 5000 nadaiwa hela ya mchezo mwenzio hata hiyo supu sitoinywa
Unakulaje kwato za wanyama? Njoo huku upate vile vitu pendwa na laini laini.Msimamizi tena! Upande ule mwingine hauna mtu ungeenda kule..
Tutaanza stori tutasahau kazi...@Super Villain kashaniahidi supu kwa kazi nzuri niifanyayo sitaki kuharibu[emoji4]
[emoji23][emoji23] ukoko tenaMbona mambo ya Pepsi tena. Au nilete ukoko uliobaki?
Kwato sio poa mzeeNataka ni mpe ladha ya uswailini siunajua mm ni njiwa na kunguru [emoji23]
Aaaah kumbe ndio iyo asali bac hata mm nimesha ilamba nilikuwa sijui 😂😂😂🤣mie nafikiri asali na hawa dada zetu waliojaaliwa🥰😍
Eeh na kabichi 😂😂[emoji23][emoji23] ukoko tena
wanawake tukiamua tunaweza[emoji23][emoji23]Hivi upo serious? [emoji23][emoji23]
😂😂😂Leo kitanda nimeamishia sebuleni hapa hakuna kulala.
Huyu dada hajui kuimba basi tu sijawahi kumuelewa kabisa.Beyonce - halo
moonlight lady - Julio IglesiasBeyonce - halo
One mistake two goals
Usinijaze we mzee [emoji23][emoji23]Hiyo ndio inakufaa mzee baba
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Fanya hivyo sasa nataka nitafute huo mchanga wa chini [emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]