Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Oya unatakaje kumlisha huyu mtoto wa kilatini makongoro mzee. Ngoja nimuandalie kiepe yai specialUsijali mpaka majogoo utapata hela ya kongoro asubuhi kwanza unakulaga?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk


nitanunua me mwenyewe na ukiwa unafanya hivi utanipa motisha ya kufanya kazi kwa bidii