chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Hahahahaha kama nakuona unapolitamkaHuez jua labda umelitoa kwenye movie zao
Mbona hata mimi mpori pori najua sema gracias
Hahahahaha kama nakuona unapolitamkaHuez jua labda umelitoa kwenye movie zao
Mbona hata mimi mpori pori najua sema gracias
HahaHuu ni uchokozi mida hii...mpaka kukuche...tutashiba picha
Aaah acha uwongo wako ww.Me ndio BMW
😋😋😋😋Ndio kwani we unaonaje huko? 😂😂😂View attachment 1428428
Tunakuwa wote ila ninakuwa msimamizi wako.Sawa nipee hizo silaha wewe waenda wapi? Kumbuka zamu yako inaisha saa tisa na nusu...
Serious chapamba ndio bora zaidi kushinda hivyo vyenu vya vitenge nitengeneze hicho cha pamba Next week nafuata kokote ulipo [emoji23]Mradi ni barakoa na wewe acha kuchagua[emoji3]
basi nitakutengezea cha pamba kesho
Shost we kibogoyo nn [emoji23]Sipendi mifupa...at least ile meupe inaliaga kwachu kwachu ukiitafuna
Hahaha sasa uongo uko wapi hapo?Aaah acha uwongo wako ww.
Sasa mateso ya nini?Shost we kibogoyo nn [emoji23]
Mzee baba naona umeamua kunipigia debe kabisa. Sikuwezi. Angekuwa yule mzee Super Villain angekaza
Siku moja moja sio mbaya niamshie tafadhali ila muamshe polepole asije akakupiga kofi la usoUnanipa wakati mgumu...maana kulala tena itabidi nibembeleze
Pole sana nipo naisubiria BBC iishe ndio nilale.Bado....niko njia panda...
Nilitaka mm mbona umewaonesha watu sasa!Hapana [emoji23][emoji23][emoji23] me nimekupa kitu ulihitaji
Nimejitahidi kweli...vumilia kukucheSiku moja moja sio mbaya niamshie tafadhali ila muamshe polepole asije akakupiga kofi la uso
Wewe chukua picha ukaleNilitaka mm mbona umewaonesha watu sasa!
Wewe nipe hela[emoji39] nitanunua me mwenyewe na ukiwa unafanya hivi utanipa motisha ya kufanya kazi kwa bidiiKongoro na nn sasa unapenda sana?
Na ww unaweza ukachukua maamuzi mapema corona ndio hii.Wokovu mwema [emoji1][emoji1]
BBC inaishaga? Au inalalaga?Pole sana nipo naisubiria BBC iishe ndio nilale.