Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kweli hiki kisanga.Mkuu Nipo post ya hatare Leo nazan jicho nyanya mpak 12 kabsaa
Kweli hiki kisanga.Mkuu Nipo post ya hatare Leo nazan jicho nyanya mpak 12 kabsaa
Punguza mawazo jomba au kamatia goma
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Sasa kama mtaalamu hataki kuvaa mm nivae ya nn mask zenye zinautata mtupu hizi lohHahahaha shauri yako

NdiyoUnapenda nyama ya kusaga ww?
Utakimbia tu....nasubiriaLeo halali mtu hapa kama mchaga na mpemba wakiwa chumba kimoja.
Usiseme kufurahisha genge..watu wapo humu😁😁😂Leo hatulali
Sindio ile inamaandishi ya dhahabu?Yes..kuna moja inaitwa lion's hill (white ni glass ya kwanza ya pili usingizi huo
Smirnoff nikikiona tu kitanda au kiegemeo chochote
Hatare tupu ni mwendo wa kujifukiza ubani badala ya mvuke mwanzo mwisho 😂😂😂Kweli hiki kisanga.
Leo hadi sisi walinzi wavivu tumefufuka mimi nipo hadi alfajiriLeo halali mtu hapa kama mchaga na mpemba wakiwa chumba kimoja.
PoleNahisi kichwa kizito tu bruh
Ni wapi huko? 😂😂😂Jamani mmehamia na kurasini.. em hizi mada ziishe mwisho wa siku mtajikuta mmefika huku picha ya ndege 😂😂😂
Wakati mwingine...kimya kimya inapendeza.Nilikuwa nalinda kimya kimya
Utashindana na usingizi?Leo hatulali
Kuna swali nilitaka kuuliza hapa lakini naona ni noma na nusu kuuliza hapa unaweza pewa block ya siku 2 dahYes..kuna moja inaitwa lion's hill (white ni glass ya kwanza ya pili usingizi huo
Smirnoff nikikiona tu kitanda au kiegemeo chochote

Leo mpak nakabidhi mzee mdogo mdogoUsiseme kufurahisha genge..watu wapo humu
Hakikisha unakabidhi funguo
Sawa nipee hizo silaha wewe waenda wapi? Kumbuka zamu yako inaisha saa tisa na nusu...Usitie shaka chiqutitta mwili mzima nishaufanyia protection ya kutosha
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kwani ww hujui ajali kazininipe snap basi PM ya hiyo kitu.