JamiiForums Usiku wa manane
Mkuu turudi hapo kuumbwa na natural abilities flani. Mpaka hapo ushakiri kuwa kuna Creator of everything right? Then it comes to the point of being programmed na yeye mwenyewe mhusika, na ili uweze kufikia perfection ni lazima uishi kwa jinsi alivyokuprogram meaning ufanikiwe kuencode zile codes alizoziweka mwenyewe ili utusue.
Wataka kuniambia kuwa hiyo ndiyo elimu tuliyofichwa wengi wetu?
Wachache wanayoijua ndio wanaoongoza kwa mafanikio na kutuburuza sisi tusioitambua hiyo Siri?
Je tufanye nini ili tuigundue na tuifikie dhamira kuu ya Mungu juu ya binadamu?

Yes mzee mimi naamini kwa sir God

Pia naamini watu wakubwa walijua ni nini wanataka kufanya from the start au katikati ya kwenye process zao za kujitafuta...mwishoni wakastick nacho

Kwenye kuishi kutokana na purpose hapo naona kuna uzito maana kuna wanaojijua abilities zao na kuna wengine hadi mtu wa nje awaambie... so ni mapicha picha tu labda nikipata zaidi experience nitajua zaidi
 
I see ni bora ukarudia kuvaa. Hapo ujue tatizo linazidi kuwa kubwa siku ukienda kupima itakuwa msala.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Hapana mzee..mimi tatizo lilikuwa mwanga zaidi yaani jicho halichuji mwanga unaingia kama wote, nilivaa mwaka then nkaanza kuitumia wakati maalumu labda kusomea vitu ila baada ya hapo nkawa naacha hadi saa hii nipo normal kiasi..japo huwa yanauma rarely
 
eti kopro drizzle
Alaf me najua humu Weng mpo nje Kwaiy pengine huko mchana
Next Man nipo hapa mkuu. Karibu sana. Hakikisha una kinywaji chako pendwa kabla ya kuanza ulinzi.

Unamaanisha kwamba wanakupigisha story then muda wao wa kulala ukifika wanalala ilhali wewe unakuwa upo mzigoni ukiwa mchovu kwa kutolala?

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom