JamiiForums Usiku wa manane
Yes mzee mimi naamini kwa sir God

Pia naamini watu wakubwa walijua ni nini wanataka kufanya from the start au katikati ya kwenye process zao za kujitafuta...mwishoni wakastick nacho

Kwenye kuishi kutokana na purpose hapo naona kuna uzito maana kuna wanaojijua abilities zao na kuna wengine hadi mtu wa nje awaambie... so ni mapicha picha tu labda nikipata zaidi experience nitajua zaidi
Hiyo experience utaipatia wapi? What I do believe ni kwamba kila kitu kina mwanzo na mwisho. Ukiona umedanji huo ndio mwisho wako. Believe me or not maisha ni haya haya. Hivyo ukipata nafasi kula bata la kutosha tu.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Hapana mzee..mimi tatizo lilikuwa mwanga zaidi yaani jicho halichuji mwanga unaingia kama wote, nilivaa mwaka then nkaanza kuitumia wakati maalumu labda kusomea vitu ila baada ya hapo nkawa naacha hadi saa hii nipo normal kiasi..japo huwa yanauma rarely
Matatizo ya macho yanasababu mbalimbali. Mwingine akisoma mishipa ya kichwa kama inataka kupasuka. Na pia kama hivyo ulivyoelezea kwako. Kuacha maana yake tatizo linazidi kukua. Ila wabongo ni wabishi sana kwenye kufuata tiba. Unaweza ona uko fit ila fainali uzeeni. Huwa naheshimu sana ushauri wa watalaamu

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Hiyo experience utaipatia wapi? What I do believe ni kwamba kila kitu kina mwanzo na mwisho. Ukiona umedanji huo ndio mwisho wako. Believe me or not maisha ni haya haya. Hivyo ukipata nafasi kula bata la kutosha tu.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

😂😂😂 sawq bro.. saa hii macho mazito

Cha msingi kila mtu afanye kinachompa satisfaction na fullfillment...
 
Matatizo ya macho yanasababu mbalimbali. Mwingine akisoma mishipa ya kichwa kama inataka kupasuka. Na pia kama hivyo ulivyoelezea kwako. Kuacha maana yake tatizo linazidi kukua. Ila wabongo ni wabishi sana kwenye kufuata tiba. Unaweza ona uko fit ila fainali uzeeni. Huwa naheshimu sana ushauri wa watalaamu

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Na mimi ni mbongo ila ntafuata ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom