Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,844
Hahahaha, ngoja nilinde fukwe mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari ni kichwa mkuu.. af unaeza laza hata guta pia
Hahahaha, ngoja nilinde fukwe mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari ni kichwa mkuu.. af unaeza laza hata guta pia
Unaona jinsi unavyo ninyanyapaa kijiografia. Yaani ushadumbukiza mambo karibia ma3 ili tu unibanie namba. Kwanza nipo nje, pili Corona, tatu mask. Haya yanauhusiano gani na ombi langu? Sikuwezi mzee.Upo nje ya nchi ww acha sisi tupambane na corona saiz kwanza mask tu box ni 100k...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We unajua ni namba kweli nimempa embu muulize vizuri simissUnaona jinsi unavyo ninyanyapaa kijiografia. Yaani ushadumbukiza mambo karibia ma3 ili tu unibanie namba. Kwanza nipo nje, pili Corona, tatu mask. Haya yanauhusiano gani na ombi langu? Sikuwezi mzee.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hahahaha, ngoja nilinde fukwe mimi
Hahahaha ,Mzee mwenzangu hulali?We mzee kuna siri gani huko Ununio?
Hahahaha ,Mzee mwenzangu hulali?
Unaogopa kufa sio. Bongo nyosoUsiku mwema guy's
Dah ila watanzania sijui wataacha lini unafki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sugu hili kabisa naliona [emoji41]
Kesho muulize atakuambia anazingua huyo.Hawezi kuongopa
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kesho ukimaanisha tarehe 22?Kesho muulize atakuambia anazingua huyo.
Mkuu hii ndio mida ya kujidaiLaleni muongeze kinga za mwili za kupambana na majanga ya dunia
Mapema sana mkuuUsiku mwema guy's
Dah ila watanzania sijui wataacha lini unafki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sugu hili kabisa naliona [emoji41]