Wapi huku Mkuu ?View attachment 1425261Tanzania huwa hatujengi nyumba kabisa na tuna matumizi ya hovyo sana ya cement
And it will be hardly to happen kupitishwa a place that you will think that's the place you're belong before you leave the earth completely. Kwahiyo mkuu tuishi, tusonge mbele kwa kiberesha maisha yetu bila kusahau uwepo wa Creator of everything.
Home boi niadje ? Jana usingizi uliniokota sijui Kama nilijibu vyema Zile definitions AiseeHizo ni swali za phylosophy ...
unajua life ina siri nyingi sana na kesho kuijua unatakiwa kuweka efforts ili uitengeneze unavyotaka
Kujua mission ya kuishi ni hardest thing to accomplish unless upitishwe sehemu ambayo utaona "yes, this is where i trully belong"

introvert and extroverts 
Hii changamoto. Siku hizi ashanisoma. Utasikia ananitaja Drizzle hakikisha unafanya hivi next time. Nitakubali. Ila next time ikifika najiuliza hivi kwani kuna lazima. Natuma halafu nasikilizia.
niliambiwa job is an offer na huez panga offer iweje.. introverts hawaez kubaliana na hili maana wengi ni smart beings
Hongera sana DeWitt JView attachment 1425251View attachment 1425252Wapendwa katika bwana mnaona wenzetu wanavyoweka lenta ya nyumba?
I seeYule nani je awww leo unamkana mzee wangu![]()
Home boi niadje ? Jana usingizi uliniokota sijui Kama nilijibu vyema Zile definitions Aiseeintrovert and extroverts
![]()
Sio kila urithi ni urithi Super VillainKwani ww siunataka urithi mbona maswali mengi![]()
@Super Villain fanya kunitupia na mimi namba mzee. Sio poa ujuenaemjua ni yule uliyenipa namba tu
Hii changamoto. Siku hizi ashanisoma. Utasikia ananitaja Drizzle hakikisha unafanya hivi next time. Nitakubali. Ila next time ikifika najiuliza hivi kwani kuna lazima. Natuma halafu nasikilizia.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Ndio unakaribia sasa tekeleza tu hilo ombi. Na kumbuka kuwa ushindi wako unaweza kuwa wa tofauti na Sikamona ila ukatunukiwa.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Unaanzaje kuufunga ilhali hujaleta ufafanuziBasi bhana nafunga mjadala![]()
@Super Villain fanya kunitupia na mimi namba mzee. Sio poa ujue
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hahaha kama umeniona vile. We mchawi nini?


mkuu mida ya wanga bila driving force utaishia tu kutumbua mijicho kwenye dali. Upo na chui chui AMA nini? Safi sana.Mkuu turudi hapo kuumbwa na natural abilities flani. Mpaka hapo ushakiri kuwa kuna Creator of everything right? Then it comes to the point of being programmed na yeye mwenyewe mhusika, na ili uweze kufikia perfection ni lazima uishi kwa jinsi alivyokuprogram meaning ufanikiwe kuencode zile codes alizoziweka mwenyewe ili utusue.Naamini tofauti kidogo mkuu...
unajua wote tumeumbwa na kitu flani natural kabisa t.. iwe natural abilities ama chochote kile na hicho ndo kama area of expertise ambayo inahitaji brush kiasi kufikia perfection
Can you imagine diamond angesoma fresh na kuwa daktari. Ni nini kingetokea
I see ni bora ukarudia kuvaa. Hapo ujue tatizo linazidi kuwa kubwa siku ukienda kupima itakuwa msala.Nilivaa ile fully kama mwaka mmoja tu mkuu.. saa hii nasumbuka lakini sivai
Wimbo wako ni mmoja tu, shambaKwahiyo hutaki na mm nikakomeshe uswailini
![]()