fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Njoo mamii. Missed you12:10
Mlinde vyema.
Njoo mamii. Missed you12:10
Mlinde vyema.
Leo ataota anaongea kirumi😂😂
Mara yang ya Kwanzaa kabisa kukesha ilikua boarding Shule
Nikaja kufuruliza kukesha jeshini
Mpaka Leo sijawahi kukesha tena mpka nilione jua ni Kama miaka 5 Sasa![]()




Fafanua mkuu ili nasi tupate kuelewa.Happiness is just an Idea Mkuu
Mimi sio kakaAhsante. Naweza kumeza ulimi kaka mkubwa.
Samahani sana sister.
Jeshini ukiwa majibu wa sheria au RTS boy?Mara yang ya Kwanzaa kabisa kukesha ilikua boarding Shule
Nikaja kufuruliza kukesha jeshini
Mpaka Leo sijawahi kukesha tena mpka nilione jua ni Kama miaka 5 Sasa![]()
Nina kasumba kutojibiwa Meseji humu jf
Au kisa me sio famous![]()
Hapana usihisi hivyo
Nina kasumba kutojibiwa Meseji humu jf
Au kisa me sio famous![]()
Mahatma Gandhi once said, “Happiness is when what you think, what you say, and what you do are in harmony.”Fafanua mkuu ili nasi tupate kuelewa.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Huwa unakumbuka ndoto yote auMara nyingi hua naota kile nachokisikia muda huo. Kama redio ipo pembeni inaimba kile kinachoimbwa ndio hua naota au taarifa ya habari
Am missing somebody in here...😍😍
Rowin
Mujibi Mzeebaba zilikua Sio poa kozi ilikua ya moto, Vipi Wewe umepita boss?Jeshini ukiwa majibu wa sheria au RTS boy?
Hakika nibaki hivi hiviHahaha, huku kila ntu na ntuwe.
Kama huna ntu baki ivyo ivyo.



Sure thing nilihisi ni tatizo kuna jamaa yangu anakumbuka zote alizoota kwa usiku .Hakuna binaadamu anayekumbuka ndoto zote alizoota usiku. Hua tunakumbuka zile tunazoota tukikaribia kuamka.