Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Lakini ndio kinapona haraka sasa kipindi hiki.Haha awake mguu juu ya pillows kama mbili hivi. Na kimvua hiki sipati picha kidonda kinavyovuta.
Lakini ndio kinapona haraka sasa kipindi hiki.Haha awake mguu juu ya pillows kama mbili hivi. Na kimvua hiki sipati picha kidonda kinavyovuta.
Kinawasha kwelikweli, njoo ukikune bhas😜😜😀😀
Kichwa chako
Nipo makini na ulalaji acha tuHapo itabidi uchague pozi la kulalia sasa iliusitingishe mguu.
Kajikata leo huyo ndio kwanza kibichii... Sijui alikuwa anarukaruka wapi😂😂Lakini ndio kinapona haraka sasa kipindi hiki.
Usiku wa leo utauwona mrefu kwa hayo maumivuNipo makini na ulalaji acha tu

😂😂 Makwezi yanakuhusuKinawasha kwelikweli, njoo ukikune bhas😜😜
njoo upate tibaAcha tu
Yupo karantini ya bira kutaka.Kajikata leo huyo ndio kwanza kibichii... Sijui alikuwa anarukaruka wapi![]()
Hahaha hayo sasa itabidi nikukalie mbali mamii. Ujipige la kwanza tu nami najua niukanyage mguu gani ili nisikie kilio 😂😂😂😂 Makwezi yanakuhusu
Eti leo Kama ulikuwepo vile nimejikata janaKajikata leo huyo ndio kwanza kibichii... Sijui alikuwa anarukaruka wapi😂😂
Ila bora maana alizoea kuzurura wakati kila siku anasisitizwa maintain social distance😊😊Yupo karantini ya bira kutaka.
Kweli watu hatuna mbobjinjoo upate tiba
Si ndiyo maana nilijua pamekucha kumbe badoUsiku wa leo utauwona mrefu kwa hayo maumivu![]()
Aaah kweli, kumbe siku ishabadirika lol🙄 kweli bichwa langu hili lahitaji makwenzi yako kuweka sawa kumbukumbu😊😊Eti leo Kama ulikuwepo vile nimejikata jana
🤣🤣🤣🤣🤣muoneHahaha hayo sasa itabidi nikukalie mbali mamii. Ujipige la kwanza tu nami najua niukanyage mguu gani ili nisikie kilio 😂😂
Mishe zake zinakwama sasa.Ila bora maana alizoea kuzurura wakati kila siku anasisitizwa maintain social distance![]()
Ndio kwanza saa 9 hiiSi ndiyo maana nilijua pamekucha kumbe bado
Poleee yna2 uko mitaa gani nikupe magongo?? au wataka whèlchairSi ndiyo maana nilijua pamekucha kumbe bado
Mkuu tunawaza maisha yanavyokwenda kasi,usingizi utapatikana vipi?Kweli watu hatuna mbobji