Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
No
Fanya kuniongezea credit mzee.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Yeah,Leo sijui chanzo cha mkesha ni nini?[emoji38]Kwaiy Leo umefikisha Saa Saba kasoro bila kahawa
Sema leo sitaki kuongea ngoja nitoke ila hizi nyimbo[emoji23]
Sawa balozi wa epe yai [emoji16]
[emoji15]Mbaki salama
Yeah najua maana yake
Hahahahh Labda wikiend ndio mana Mwili umerespond wenyewe, umejiongezaYeah,Leo sijui chanzo cha mkesha ni nini?
Bora hivyo wamerudishaYeah najua maana yake
Umeme wamerudisha.
[emoji23][emoji23] Nn haya semaSema leo sitaki kuongea ngoja nitoke ila hizi nyimbo[emoji23]
[emoji23][emoji23] Mvua siimekata ndio maana wamerudisha hawa.
Sio kuwa ndio wanaongea?Wengi wanao sikia zile sauti za ndege huwa wanahisi ndege anaimba.
Lakini me Sina mawazo ya kizembe huwa nahisi labda nikelele za shida
Ooh huku inanyesha lakini waliwahi kurudisha .[emoji23][emoji23] Mvua siimekata ndio maana wamerudisha hawa.