Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Sikiliza hata music
Sikiliza hata music
Try to relax unaweza ku night/daydream pia
Nakubali series yenye harakati na mitikasi ya kusisimua. Unaweza sahau hata msosiAlafu upuuzi ni nn mpaka leo sijamaliza hiyo series lakini kesho nitaifagia yote asubuhi.
Fanya kuniongezea credit mzee.Lady Gaga - always remember us this way![]()
Kunight daydream ndo kufanyajeTry to relax unaweza ku night/daydream pia
Huwa natumia njia hiyo nalala muda huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatupa tabu single peopleAaaiii ni wewe ubavu wangu mwenyewe ukifa nizikwe na wewe nikifa uzikwe na mie aah basi ninogeshe....
Rahaaa raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Asali ya mapenzi nakupa baby uilambe nikufanye uji kwenye kikombe nikukombe
I'm comfortable madame..
Ni kwamba tuko vizuri kama scania
AmbitionMwenyewe anajua series nzuri please name it niifanyie mchakato
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk