JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hiyo ngoma niliisikia kwa mara ya kwanza kabisa nikiwa kwenye gheto la rafiki yangu wa kike Clinical officer mmoja amazing sitakaa nimsahau maana tulilala kama nimelala na mwanaume mwenzangu no kugusana dah!

U Tom boy wa kifala sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah kweli hiyo hilikuwa dhahama dingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah kweli hiyo hilikuwa dhahama dingi.
Yani hata stim sikuwa nazo, anasaula mbele yangu ila wapi and it was the same to her.
Ajabu sasa kaolewa 2018 kawa na kalio hilo, kajifunza na kuvaa madera nimeanza kumtamani 😝
 
Back
Top Bottom