Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Nishaanza GYM asee, unene jau hata usiutamaniPunguza mwili sasa uwefimbo kama mie kweli maisha sio fair mm nataka unene ww unataka wembamba![]()
Nishaanza GYM asee, unene jau hata usiutamaniPunguza mwili sasa uwefimbo kama mie kweli maisha sio fair mm nataka unene ww unataka wembamba![]()
Ooh! Njooni huku tuwapunguzie1:20
Mvua inyeshe walau kiduchu tu.
we chanika tu na hizi level sit anzaga kutafuta gari yako binafsi tu maana daladala hutapanda.Nishaanza GYM asee, unene jau hata usiutamani
Leo haitanyesha usikuMvua.
Everyday mvua.
No woman, no cry- Bob marleyJamani naomba mnitajie nyimbo kali ambayo itanipelekea nilale pind nitakapoisikilza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapema sana akija nakuitaYule binti akija mnistue wadau.
Narudi ....
Unapenda sana reggae?
Kumbe mchuchu ni mnene?!we chanika tu na hizi level sit anzaga kutafuta gari yako binafsi tu maana daladala hutapanda.
Na huyu umemsahau yna2Yes na yule "chumchung" sijui kama nimepatia ID yake....ila wewe haukuwa sana.
Ulikuwa unalala mno, kiboko alikuwa chaliifrancisco
Utakuwa umefanya la maana sana, maana namtafuta mno.Mapema sana akija nakuita
Alikuwa analala huyo
Bhana we nyimbo yetu ya marioo chibonge
😂😂😂😂😂😂 unanisema?we chanika tu na hizi level sit anzaga kutafuta gari yako binafsi tu maana daladala hutapanda.
Leo Wednesday sio?Leo haitanyesha usiku