God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,531
Si ndio amepanda cheo inabidi adhihirishe kwa wakula kuwa hakupendelewa.Kwahiyo alale anenepe![]()


mm basi naeleweka ni mvulagizi tu.Hii v moja inamtosha kwanza saiz kashalala huko.Si ndio amepanda cheo inabidi adhihirishe kwa wakula kuwa hakupendelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali nakubali, hali ya hewa ikoje hukoNiko gud babulai.
Bas kuanzia sasa atakuwa private.Hii v moja inamtosha kwanza saiz kashalala huko.
Loh pole mzee wangu hawa viumbe ni pasua kichwa.Yalivyonifanyia mapenzi nisije anguka oooh kila siku mimi wakuyasujudu sitaki kurudia hiyo hali kachala wa nguvu kuparamia paramia mwenzenu naomba nikome Mapenzi rungu mwiba likikupata sumu halina tiba mwenzenu nimekoma kuapaparukia haja zangu
.
Huwezi amini nilidanganywa kuwa niko peke yangu
Fekeche arifu.Nakubali nakubali, hali ya hewa ikoje huko
Mkuu naona unavuta waya kijanjaYalivyonifanyia mapenzi nisije anguka oooh kila siku mimi wakuyasujudu sitaki kurudia hiyo hali kachala wa nguvu kuparamia paramia mwenzenu naomba nikome Mapenzi rungu mwiba likikupata sumu halina tiba mwenzenu nimekoma kuapaparukia haja zangu
.
Huwezi amini nilidanganywa kuwa niko peke yangu
Natafuta mwingine wakumpiga cha kigiriki kimoja tuLoh pole mzee wangu hawa viumbe ni pasua kichwa.
Nakubali sio kiny'ongeFekeche arifu.
Nakesha lindo liindo macho kwenye show kuchakachua No

Sina namna kiongozi
Ndio unampeleka huko tena

Natafuta mwingine wakumpiga cha kigiriki kimoja tu


Upo lindo sioSasa kama analala kabla ya kuruti tufanyeje mkuu.Ndio unampeleka huko tena![]()