Salama kabisa broNipo dada yangu, hbr za masiku?
Haya sis, siku njema.Salama kabisa bro
😀 😀 😀 😀Wakuu kwema humu, naombeni udhuru nitachelewa lindo kidogo, namalizia assignment ya Boss, na nimkali utadhani ana mimba changa au anatafuta kijana rijali amchune.
Nakuja
[emoji16] Umeshakuwa mlinzi sasa naona cheo kimepanda unanyota moja saiv.
Ashakuwa luteni usu[emoji16] Umeshakuwa mlinzi sasa naona cheo kimepanda unanyota moja saiv.
Bado bado cheo kizito hiko mzee wangu [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa ni story tuHuu uzi unanipaga raha sana haunaga content kama kipindi cha Taarab [emoji1]
Bas tumpe v moja lance koplo.Bado bado cheo kizito hiko mzee wangu [emoji16]
Uko gud hommie?Mbuzi kama Mbuzi
Hapo ndio sahihi kabisa [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti kuna uhusiano wowote kati ya Avatar yako na jinsi ulivyo vinafana au nitofauti Depal
Estou bem blood, vipi huko kwa fasi ya dwasiUko gud hommie?
Niko gud babulai.Estou bem blood, vipi huko kwa fasi ya dwasi
Kwahiyo alale anenepe [emoji23][emoji23]