JamiiForums Usiku wa manane
Siku-plan ku go this deep, sikudhani kufika hii stage na siwezagi kuweka feelings zangu kwa display but kwa future naona party nawe kwa D n K inaweza happen by mistake.

Tutafute beach tukapigwe upepo
 
Usiku kucha mi silali moyo wangu unaenda mbio, mpenzi umekwenda mbali kutakucha mi kilio japo tusi afadhali nitukane me mwenzio ili nikaee nijuee bado mzima weweee aaaaaaah rudi kwangu mkimbie achana nae uwe na mie asikufanye ulie i wanna put ring on your finger.

Na na na naaaaah i missed karaoke for sure dah!
 
Alla! usimwage kwenye kuku wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sketch hii sio og?
9fa6dfe46194ace32bf01d883b1ae5d9.jpg

Na hii
 
Back
Top Bottom