Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,424
- 33,904
Punguza mwili sasa uwefimbo kama mie kweli maisha sio fair mm nataka unene ww unataka wembamba [emoji16]Me bonge ila napenda watu wembamba
[emoji15]Hahah me kitambo hapa...ila niliokuwaga nao wote wamekimbia
Tutatubu kwa Sir GodUnataka ubaya huko na mali za watu mzee wangu.
Bonge la nyimbo [emoji91]Maroon 5 - Memory.
Tubu tu saiz mzee wangu.Tutatubu kwa Sir God
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ngoma niliisikia kwa mara ya kwanza kabisa nikiwa kwenye gheto la rafiki yangu wa kike Clinical officer mmoja amazing sitakaa nimsahau maana tulilala kama nimelala na mwanaume mwenzangu no kugusana dah!
U Tom boy wa kifala sana
Nimebaki mimiHahah me kitambo hapa...ila niliokuwaga nao wote wamekimbia
Yani hili goma kuna cover yake kaifanya dem mmoja anaitwa J.Fla it's FireeeBonge la nyimbo [emoji91]
😂😂 Mjep bwana mwenzio anataka aulizwe swali..we wampa pole..wallah nimecheka chaaa!!
Og itabaki kuwa juu tu [emoji91]Yani hili goma kuna cover yake kaifanya dem mmoja anaitwa J.Fla it's Fireee
Nimekaribia kuanza ku-preach neno la Mungu soonTubu tu saiz mzee wangu.
Kwema dude?
Kama Salome ya Dully Sykes 😂Og itabaki kuwa juu tu [emoji91]
Kabisa [emoji23]Kama Salome ya Dully Sykes [emoji23]
Yes na yule "chumchung" sijui kama nimepatia ID yake....ila wewe haukuwa sana.
Mirror J.TJamani naomba mnitajie nyimbo kali ambayo itanipelekea nilale pind nitakapoisikilza
Sent using Jamii Forums mobile app