mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Amka basi
04:11
Amka basi
04:11
Nipo mkuuAmka basi
Skukuu imeisha kama hiviNipo mkuu
Wajinga tu huwa nawaona ila nawapotezeanasikia wachawi wanapita nje.
Wajinga sana wale jamaa yn mtu na akili zako unakubali vp mda wa kulala uanze kurukaruka na kichupi hewaniDuh bhas hili eneo wachawi wengi maana mchana kutwa jua kali na usiku joto hakuna cha mvua wala nini.
Dah tunashukuru imeisha salamaSkukuu imeisha kama hivi
Yeah, ni mwendo wa kusaka mfuko sasaDah tunashukuru imeisha salama
Hahahaha ,muda wa cha asubuhi
Mida kama hii Mpwa au SAA ngapi?Hivi unaweza kujichua wakati umelala na mkeo kitanda kimoja.
Kawasindikize Mpwanasikia wachawi wanapita nje.
Tupo macho tangu saa saba. Kama majogoo tungewika leo
Hongera. Tangu kuamka nasikiliza mzikiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Tumefunga rasmi SAA 06:00Fungeni sasa