Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Nakuja sasa hivi
Katika yote unayopitia ikiwa bado una afya njema amini utavuka vikwazo na utafanikiwa. Usikate tamaaCorona ndo imenivuruga kabisa kiakili na Kimwili
Riziki kiduchu niliyokuwa naipata kunifanya nisiwe omba omba imekwenda
Nishajaribu nikaanguka, nishathubutu nikapoteza, Bahasha nimezungusha sana
Sijafanikiwa, nimefika point ambayo sasa, tumaini limepotea kabisa kabisa
Na usingizi umekuwa shida
Sijui kwa nini huwa napata hizi feelings lakini brother..Corona ndo imenivuruga kabisa kiakili na Kimwili
Riziki kiduchu niliyokuwa naipata kunifanya nisiwe omba omba imekwenda
Nishajaribu nikaanguka, nishathubutu nikapoteza, Bahasha nimezungusha sana
Sijafanikiwa, nimefika point ambayo sasa, tumaini limepotea kabisa kabisa
Na usingizi umekuwa shida
AmenKatika yote unayopitia ikiwa bado una afya njema amini utavuka vikwazo na utafanikiwa. Usikate tamaa
Karibu...01:31
Walikua mazoeziHuku lindo linaanza saa 8 hawa wa saa 7 mnatoka wap
Nipo mkuu, lindo limekolea nakuona mlinzi wa zamu uko makini