Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
KK securityHuku lindo linaanza saa 8 hawa wa saa 7 mnatoka wap
KK securityHuku lindo linaanza saa 8 hawa wa saa 7 mnatoka wap
Ndio mkuu tupo tunasukuma gurudumuNipo mkuu, lindo limekolea nakuona mlinzi wa zamu uko makini
Walikua mazoezi
Sijakuacha D😁😁😁Mama D Mbona ulimuacha D ukijua anategemea kunyonya..anasavaivu vipi bila maziwa😕😕😕
😂😂😂😂Mkuu una wivuu
KK security
Ni muhimu sana kujilinda dhidi ya kirusi Covid-19, natoa rai kwa walinzi wote kujilinda dhidi ya kirusi hiki, Hongera a ahsante kwakujali mkuuNimefika kamilikamili🚰🛂😷💯%✔
❌👥🗣🤝❌
Usifute mkuu ni utani tu nanogesha lindo tafadhali kama umenielewa tofautiMkuu mbona mm sina wivu au chuki na mtu...?
I'm sorry ngoja nifute comment yangu sikujua!
Hii kitu inawapeleka mbio hadi wenye teknolojia zao.... hapa ndo tuarudi kwenye tibalishe, majani na mizizi yetu na tuombe Mungu sanaNi muhimu sana kujilinda dhidi ya kirusi Covid-19, natoa rai kwa walinzi wote kujilinda dhidi ya kirusi hiki, Hongera a ahsante kwakujali mkuu
Nisamehe sana mkuuAll done.
Ninyi ndio hunielewa tofauti.....
D umefanya nini Sasa?All done.
Ninyi ndio hunielewa tofauti.....
Hakika umenena mkuu, covid-19 apotelee mbali, tuendelee kuchukua tahadhaliHii kitu inawapeleka mbio hadi wenye teknolojia zao.... hapa ndo tuarudi kwenye tibalishe, majani na mizizi yetu na tuombe Mungu sana
Karibu mkuuNipo .....