JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi napenda kutembea sehemu tofauti
Na kweli ni misimamo

Sent using Jamii Forums mobile app
Truthfully ilikuwa sio first time kufika moro na mikumi nilikuwa nshapita mara nyingi...
nimekaa kusini pia zaidi ya 3 years kwa hiyo hata ile excitement nilikuwa sina kama wenzangu..

Na usisahau na damu yangu ya kipare ilihusika zaidi[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ooh inawezakana ikawa sababu hiyo
Mimi nilienda mara tatu ila bado nipo hyper vile vile
Hahaha eti damu ya kipare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom