Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Supa vilain ukuweka wimbo jaribu kuweka link kabisa
Shukrani sani. Nitakupa mrejeshoThad fungua hii link kisha fuata maelekezo
https://c.union.ucweb.com/index.php...offer_id=com.vidmate.apk&pub=Ekank@vidmateorg
Hapo hapo au zile km 20 za mbele
sana nandio kwanza tumeanza kinachokuja Mungu atusaidie kwakweli.
Kwani yeye ni mluguru Super VillainWeylyn huyu mtu hapendi kabila lake.. waluguru watu poa sana saa sijui kwa nn
wachawi hao watu achana nao mzee 🤣🤣🤣Weylyn huyu mtu hapendi kabila lake.. waluguru watu poa sana saa sijui kwa nn
hakuna mluguru mrefu kama mm 🤣🤣🤣 mm sio mluguru.Kwani yeye ni mluguru Super Villain
hakuna mluguru mrefu kama mmmm sio mluguru.


na kweli sijawahi kuona Zaidi ya milimani kule.. hakuna sehemu ingine..
🤣 🤣 🤣 wale watu ni futi 4
Bisha tu ila kipindi cha mavuno..tutakuona ukiongoza matarumbeta ya kumsindikiza mwalihakuna mluguru mrefu kama mmmm sio mluguru.