JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kahumba sijawahi kupita night ila hiyo itigi daaahh.. kuna laana pale ...

So ulikuwa unavuka makilometres kwwnda kule au ulikuwa wa city centre tu
Ah mkuu lilikuwa ni suala la makilometre maana sikuwa na mwenyeji kwa pande za center.

Mara nyingi ilikuwa kipindi tukifunga shule ndio nilikuwa naingia kupiga misele kwa pande hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahh af zamani nilikuwa na fantasy za kufika paris [emoji23][emoji23] kisa niliambiwa ndo the most romantic city in the world
hii mji ya kuhadisiana mm sitakagi kusikia lakini kuna miji naiyonaga kwenye muv nazoangalia mpaka unaogopa sio mchezo watu wanakufuru huko.
 
Back
Top Bottom