Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
uliishia Rock Garden wwZaidi ya milimani kule.. hakuna sehemu ingine..
Maana zilizobakia ni swimming na night life ambayo sipo into them sana
uliishia Rock Garden wwZaidi ya milimani kule.. hakuna sehemu ingine..
Maana zilizobakia ni swimming na night life ambayo sipo into them sana
Unajua sijaishi nao sana af hata nilipokuwa huko sijaexperience hizo mishe..wachawi hao watu achana nao mzee![]()
Singeli kwa kwenda mbele.Bisha tu ila kipindi cha mavuno..tutakuona ukiongoza matarumbeta ya kumsindikiza mwali
🤣🤣🤣🤣 aisee niseme tu namiss hizo show saiz basi maana waluguru kama wangoni kwa ngoma ni 🔥Bisha tu ila kipindi cha mavuno..tutakuona ukiongoza matarumbeta ya kumsindikiza mwali
Huyu ni pure spicie ila hayupo proud tuKwani yeye ni mluguru Super Villain

pumbavu ww🤣🤣🤣Tulia, niliishia msamvu shule![]()
Hukupanda hata uluguru milimaniZaidi ya milimani kule.. hakuna sehemu ingine..
Maana zilizobakia ni swimming na night life ambayo sipo into them sana
ndio maana huwajui vizuri kama mm navyo wajua sasaUnajua sijaishi nao sana af hata nilipokuwa huko sijaexperience hizo mishe..
Thad fungua hii link kisha fuata maelekezo
https://c.union.ucweb.com/index.php...offer_id=com.vidmate.apk&pub=Ekank@vidmateorg
Ubarikiwe sana nishafanikiwa.Mrejesho?
mule mule mzee.Singeli kwa kwenda mbele.
Asee ukiambiwa mluguru na mzaramo ni damu moja usibishe.. wale watuSingeli kwa kwenda mbele.


Kuna mlima mongwe.
🤣 🤣 🤣 umefeli wwHuyu ni pure spicie ila hayupo proud tu![]()
None of dem... na wengine waliokuwa wakiandaa trip ni rafki zangu kabsaa

.. misimamo ya kiboko haram