JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bhasi ni hobby yako [emoji4][emoji4][emoji4]

Mimi kutembelea mbuga labda nipite nikisafiri.. vingine vitajiset tukipata mpunga wa kutupeleka hawaii, bahamas au hata zanzbar
achana na hivyo visiwa hamna kitu nenda Trinidad and Tobago ukale bata ww.
 
Bhasi ni hobby yako [emoji4][emoji4][emoji4]

Mimi kutembelea mbuga labda nipite nikisafiri.. vingine vitajiset tukipata mpunga wa kutupeleka hawaii, bahamas au hata zanzbar
Napendelea kusafiri ndio
Visiting places is always a good experience
Inafanya akili irelax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakeshea wapi? Sogeeni mitaa hii ya Mikocheni
20200413_003718.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom