Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Yeah niko mwenyewe, napenda sana kampani yangu mwenyewe Aiseee.Hapo uko mwenyewe....addiction yangu Maziwa na Maji
Yeah niko mwenyewe, napenda sana kampani yangu mwenyewe Aiseee.Hapo uko mwenyewe....addiction yangu Maziwa na Maji
Dah mm redio kusikiliza ni music tu muda wa mahubiri sina kabisa Mungu anisaidie kwa kweli.Hahahaha ni kawaida yangu Mpwa, then saa 12 nahamia tena Upendo Radio kwenye Maombi ya Mchungaji Kimaro Kijitonyama aubAzania Front. Yanasaidia kisaikolojia


hakikisha unafunga Lindo....tusije ibiwa
Yeah niko mwenyewe, napenda sana kampani yangu mwenyewe Aiseee.
Pole sana sana Rafiki, nakuombea isiwe Corona. Kunywa maji mengi uzime simu ulale. Mungu wa Mbinguni akuponye
Tumia pain killer yeyote kama unayo?
Corona isikie tu huko....Pole sana sana Rafiki, nakuombea isiwe Corona. Kunywa maji mengi uzime simu ulale. Mungu wa Mbinguni akuponye
Jitahidi sana you wont regret Mpwa. Mimi huwezi kunikosa kipindi cja Mwakasege au Katunzi kila Jumapili. Hata nimelewa kiasi ganiDah mm redio kusikiliza ni music tu muda wa mahubiri sina kabisa Mungu anisaidie kwa kweli.
Ndio dawa kuu nayotumia.. toka zamani sana
Unapenda dawa eeehh?Tumia pain killer yeyote kama unayo?
Hatari sana sans. Mungu amtendee wepesiCorona isikie tu huko....
Inapelekesha balaa
Ahsante rafiki.Pole sana sana Rafiki, nakuombea isiwe Corona. Kunywa maji mengi uzime simu ulale. Mungu wa Mbinguni akuponye
Shida nilisoma Bible knowledge nikiwa secondary Basi naona mahubiri ni yale yale tu.Jitahidi sana you wont regret Mpwa. Mimi huwezi kunikosa kipindi cja Mwakasege au Katunzi kila Jumapili. Hata nimelewa kiasi gani
Gonga hata K-vant ndogo kisha zima simu ulale. Tutakusaidia lindo
basi nimeshakuelewa nimeunganisha dotAhsante Sana..ngoja nujaribu na hiyo ingawa nimeshakunywa maji .Ndio dawa kuu nayotumia.. toka zamani sana
Huyo mishipa tunaiita ya ya fahamu inatoka usawa wa uso mpaka kwenye masikio.
Najua trick ya kutatua matatizo madogomadogo mengi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha shida hioShida nilisoma Bible knowledge nikiwa secondary Basi naona mahubiri ni yale yale tu.
Poa poa dadaakee