Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Ndio maana sijaenda aiseeee dah ila inahitaji roho ngumu saaaanaIjumaa Kuu hakuna kula nyama mzee
Ndio maana sijaenda aiseeee dah ila inahitaji roho ngumu saaaanaIjumaa Kuu hakuna kula nyama mzee
Nimeamua kuingia kwenye maombi. Please join me kwa Upendo RadioBasi leo utaeleza na hilo baridi sio mchezo
Pambana tu usivunje amri za kanisa leo.Ndio maana sijaenda aiseeee dah ila inahitaji roho ngumu saaaana
Kutoka wapi hii?Nimeamua kuingia kwenye maombi. Please join me kwa Upendo Radio
#NowPlaying - Upendo FM on @TuneIn Radio! Listen to Upendo FM on TuneIn
HallelujahNimeamua kuingia kwenye maombi. Please join me kwa Upendo Radio
#NowPlaying - Upendo FM on @TuneIn Radio! Listen to Upendo FM on TuneIn
Tunein Radio kutoka Google storeKutoka wapi hii?
Pombe bila chakula heri kukesha kwenye maombiHallelujah
Mungo ni Pendo....kutakucha....Pombe bila chakula heri kukesha kwenye maombi
Weeeee niko kwenye maombi. Nikimaliza hapa nahamia Safina Radio.Pambana tu usivunje amri za kanisa leo.
Weeeee niko kwenye maombi. Nikimaliza hapa nahamia Safina Radio.
Kumbe unasikiliza, saaafi sana. Hadi raha. Unajua huku ugenini tunakua huru sana eeggghhMungo ni Pendo....kutakucha....
Tunein Radio kutoka Google store

Nimeacha walahiiii....naona anaumiza kooo....nimejikuta namsaidia kukohoaKumbe unasikiliza, saaafi sana. Hadi raha. Unajua huku ugenini tunakua huru sana eeggghh
Yakikukuta utawaelewa.