Kwanini tena wife ?Leo nimekukosea nini?
Kwanini tena wife ?Leo nimekukosea nini?
Nipo namalizia movie yangu hapa.Leo lindo limedorora

Leo nipo sana hapa!! Nimeshtukiza kuangalia mahudhurio,nataka nitoe vyeo kwa walinzi watiifu...
Karibu tena
GOOD! GOOD!Ni siku nyingine mpya ya Alhamisi.
Siwezi kulala alafu siku mpya inikutie usingizini.
Ni lisaa limoja na dakika tano tokea siku mpya ianze.
Na huku ndo kukesha manake kukesha ni siku ya zamani(jana) na siku mpya(leo)zikukute ukiwa macho.
Kama uko macho twende sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
0107
Karibu nipo hapa OLDERBLOODMpoo
Haya tuanze kuikimbisa mpaka ifike Ijumaa sasa.Ni siku nyingine mpya ya Alhamisi.
Siwezi kulala alafu siku mpya inikutie usingizini.
Ni lisaa limoja na dakika tano tokea siku mpya ianze.
Na huku ndo kukesha manake kukesha ni siku ya zamani(jana) na siku mpya(leo)zikukute ukiwa macho.
Kama uko macho twende sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu nipo hapa OLDERBLOOD