JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Vitabu 66 unasoma shule mzee acha tu na mitihani yake ni migumu kinoma.
Mm sikupata hiyo bahati kusoma Shule. Mafundisho ya ukatukumeni yanachukua muda wa miaka 2 ili mtu kua tayari kufanya mtihani na kupewa komonio.
Mimi nilifuata wiki 2 ambapo nilihudhuria siku 5 tu kutokana na shule. Luckily nikapasua kushinda waliofuata 2yrs
 
Back
Top Bottom