Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Nimerudi na K-vant yangu hapa. Nikupatie kidogo?!Nimeacha walahiiii....naona anaumiza kooo....nimejikuta namsaidia kukohoa
Acha tu Dar sio mchezo mzee kama leo mvua imenyesha lakini joto ni pale pale.Mwawezaje kuishi dar.? Mwili wangu hya hauhisi joto ila leo joto kama lote.
Hapa AV nimeishusha 16°C ndio angalau
View attachment 1414577
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha sijafika huko, nachuja sana mahubiri yao. Very selective
Poleni sana..Nirudi tu kigoma kwetuAcha tu Dar sio mchezo mzee kama leo mvua imenyesha lakini joto ni pale pale.
Ni kawaida yako au hii nja ndio imeleta haya yote mzeeWeeeee niko kwenye maombi. Nikimaliza hapa nahamia Safina Radio.
?Nimerudi na K-vant yangu hapa. Nikupatie kidogo?!
Hao ndugu hua wanafanya mkutano karibu na home 80% ya mahubiri ni miujiza na kuuza chumvi na majiHahahaha sijafika huko, nachuja sana mahubiri yao. Very selective
Finya mishipa fulani ipo juu ya masikio kitakata after 5 min
Hahahaha ni kawaida yangu Mpwa, then saa 12 nahamia tena Upendo Radio kwenye Maombi ya Mchungaji Kimaro Kijitonyama aubAzania Front. Yanasaidia kisaikolojiaNi kawaida yako au hii nja ndio imeleta haya yote mzee?
Unatakiwa uwe capable na kucope na environment yeyote dude maisha yetu wenyewe formula ni wachache.Poleni sana..Nirudi tu kigoma kwetu
Sijawahi kuwaza kununua wala kuuza chumviHao ndugu hua wanafanya mkutano karibu na home 80% ya mahubiri ni miujiza na kuuza chumvi na maji
Naah..All way leads to Rome. I will remain
Mmh kweli?Finya mishipa fulani ipo juu ya masikio kitakata after 5 min
Pole sana
Kwa hardcopy natumia Gideon Version. Ya zamani kidogo..Kwa software natumia yoyote yenye vitabu vyote vya RC