Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Hapana...endelea kuwepo hapo ni salama zaidi....mizunguko no mikusanyiko mwiko kwa sasa.Sasa nifanyeje? Nitoke niende club??
Hapana...endelea kuwepo hapo ni salama zaidi....mizunguko no mikusanyiko mwiko kwa sasa.Sasa nifanyeje? Nitoke niende club??
Hahahaha sasa hivi unatakiwa uwe umefungua kanisa lako. Kumbe kianzio unacho? Njoo tufungue huduma tutaaita Elli International Chapel (EIC)! Njoo tupige pesa


We mzee unataka kuniingiza majaribuni tu.
Jukwaa letu hili saa hizi hakuna wanafiki. Yaani huu Uzi wote tunapendana kama Wavuta bangiCorona bhana hata kuelezea naogopa maana unaweza jikuta upo central kesho![]()
Sasa wewe mpaka unatuma hii msg ushagegedwa au bado maana Kama hauko peke yako labda umelala na mtoto kinyume na hapo lazima ugegedwe na lishemeji let usiku huu.Hapana haiwezekani....utakuwa wewe tu ndio uko kwa bed...
Unamiaka mingapi mpaka sasa unatumia pombe?Dah hongera sana, mi pombe yote imekata
Nitajaribu, nikishindwa naomba unisameheHapana...endelea kuwepo hapo ni salama zaidi....mizunguko no mikusanyiko mwiko kwa sasa.
Naomba hili swali nisilijibuUnamiaka mingapi mpaka sasa unatumia pombe?
Nadhani hivyo.. si unakumbuka kipindi kile cha mwaka mpya nikawa hoii kisa mafua!
Fafanua kidogo please....ukatukumeni kwa jina rahisi ni mafundisho yapi? Hiyo komunio ni ile ya kwenye sakramenti za kanisa?Mm sikupata hiyo bahati kusoma Shule. Mafundisho ya ukatukumeni yanachukua muda wa miaka 2 ili mtu kua tayari kufanya mtihani na kupewa komonio.
Mimi nilifuata wiki 2 ambapo nilihudhuria siku 5 tu kutokana na shule. Luckily nikapasua kushinda waliofuata 2yrs
Kesho uje inbox. Nitakufanyia maombiInfo karibia zote nazijua ila ndio siwezi kuongea mzee acha niendelee kula miongo na Pepsi uraiani mm.
Humu hawakupati mpaka waiguse shield yetu Max vinginevyo jiaCorona bhana hata kuelezea naogopa maana unaweza jikuta upo central kesho![]()
Jukwaa letu hili saa hizi hakuna wanafiki. Yaani huu Uzi wote tunapendana kama Wavuta bangi
Jukwaa letu hili saa hizi hakuna wanafiki. Yaani huu Uzi wote tunapendana kama Wavuta bangi




Kesho nitakuita uje upitie hizi comments zako....Naomba hili swali nisilijibu
Dah haya mzee wangu hakuna tatizo.Ooh itakuwa hivyo basiNadhani hivyo.. si unakumbuka kipindi kile cha mwaka mpya nikawa hoii kisa mafua!
Ugonjwa wa maskio pia uliletwa na mafua toka 2017. Nikiumwa mafua nasikia kama nyembe zinanichana ndani ya maskio
Utazituma inbox. Usitoe siri.Kesho nitakuita uje upitie hizi comments zako....
Nikienda inbox nitakuwa mnafiki...tutakutana hapa jukwaaniUtazituma inbox. Usitoe siri.
Kumbe unajua kusali??Ooh itakuwa hivyo basi
Hata kama una mafua makali hivyo na corona inatisha amini Mungu atapigania afya yako .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Manisa, sema huduma ya Maombi na Maombezi kwa Mtume na Nabii Ellikwenye kanisa lako?