Tupo kibao mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, niko peke yangu hapa, ngoja tu niwashe fegi nitoe ka ubaridi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, niko peke yangu hapa, ngoja tu niwashe fegi nitoe ka ubaridi.
Hizi sasa ndio series za kuangalia hakuna mapenzi muda wote watu wanatoana jasho tu na kutoana damu.Yes mm sijaona mambo mengi tofauti na mkono kwanza watu wengi wachina sijui japan wale wanazipiga tu
Ile kitu...unalala unaota umo ndani yake....24 nilikuwa nachukua hadi notisi, nikishaanza kuangalia najifungia kabisa ndani.



siku hizi jumbe za mapenzi JF zimekuwa nyingi kupitiliza hii inaonesha hilitatizo nikubwa kwetu vijana ni kama corona kwa sasa 🙂
Naisikia pia...ila tukikosa cha kutu entertain tutaiona ya maanaaah bado mm sijavutiwa na hii app kwakweli.
tunayapa attention sana siku hizi ndio maana yanatuchanganya vijana.
Ile kitu...unalala unaota umo ndani yake....![]()
sijui nini weza jiunga lakini nikaona sijapenda naiacha maana naona imekuja kwa kasi kama snap vile siku hizi sisikii tena kelele za snap ilikuwa overrated tu ngoja tuone na hii pia.Naisikia pia...ila tukikosa cha kutu entertain tutaiona ya maana
Yani we jamaa post zako unaelewa wewe na ndugu zako wa hapo buza kwenu walahi.Sana, nilikuwa nawaelewa sana wale watu.
Kina Chloe, Edgar (machozi yalinitoka alivyofariki), Michelle (demu wa Tony Ameilda), nk.
kwann mzee mbona anaeleweka vizuri tu.Yani we jamaa post zako unaelewa wewe na ndugu zako wa hapo buza kwenu walahi.
Yani we jamaa post zako unaelewa wewe na ndugu zako wa hapo buza kwenu walahi.
Ilikuwa nzuri....Sana, nilikuwa nawaelewa sana wale watu.
Kina Chloe, Edgar (machozi yalinitoka alivyofariki), Michelle (demu wa Tony Ameilda), nk.
sijui nini weza jiunga lakini nikaona sijapenda naiacha maana naona imekuja kwa kasi kama snap vile siku hizi sisikii tena kelele za snap ilikuwa overrated tu ngoja tuone na hii pia.


Lofa wewe kwenda zakoBro usinilazimishe nikaandika kitu ambacho baadae nitajutia kwa nini nilikiandika.
Such nonsense go n tell ur harlouts! BastardBro usinilazimishe nikaandika kitu ambacho baadae nitajutia kwa nini nilikiandika.
ooh kausha mzee wanguLofa wewe kwenda zako