Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
wicher story ilikuwa nitatizo sio rahisi kuelewa ipo ipo tu.The witcher nayo nikidogo maana season 1 imeisha haieleweki kiviiile naona kila episode inarukaruka tu sielew
wicher story ilikuwa nitatizo sio rahisi kuelewa ipo ipo tu.The witcher nayo nikidogo maana season 1 imeisha haieleweki kiviiile naona kila episode inarukaruka tu sielew
Rudi utazame Nikita....Hahaha, Jack Bauer!
Hata sijui kwa kweli, maana kila series nalinganisha na 24. Mfano Nikita, Strike Back, The Blacklist nk.
Zilizotoka miaka ya kuanzia 2016 ndo hata sijaangalia kabisa.
zipo movie tu na zikiisha sijui itakuaje maana corona imestopisha kila kitu tutakuwa tunaangalia marudio tu.Ni kweli hakuna series mpya...kusema ukweli....
Kuelewa utulize kichwa all in all sijaipenda kiviiile bora swamp thingwicher story ilikuwa nitatizo sio rahisi kuelewa ipo ipo tu.
Rudi utazame Nikita....
Zipo ngapi nianze kupakua saiz hapa?Tafuta ''worrior" halafu thank me later
Tutajiunga Tik Tokzipo movie tu na zikiisha sijui itakuaje maana corona imestopisha kila kitu tutakuwa tunaangalia marudio tu.
nawavutia kasi na you tube hapa ni kula documentaries tu sasa hamna namnaKwahiyo unafanyaje sasa mzee![]()
Imetoka season ya 1 ya episode10 tu ila ni mkono tu hakuna maneno mengiZipo ngapi nianze kupakua saiz hapa?
Unakumbukumbu....maana 24 nimeitazama 2005...sikumbuki mengiNikita niliitazama, walikuja na mishe za The Black Box ikawa kama Scylla ya kwenye PB (copy paste)
Unakumbukumbu....maana 24 nimeitazama 2005...sikumbuki mengi
aah bado mm sijavutiwa na hii app kwakweli.Tutajiunga Tik Tok
kama Badland vile maneno kidigo basi ngoja niishi nayo saiz hapa nitaangalia mchana jioni nitaleta majibu.Imetoka season ya 1 ya episode10 tu ila ni mkono tu hakuna maneno mengi
huwa inakera sana umeweka bando kwajili ya kupakuwa kitu fulani alafu matumizi yanaenda tofauti na ww unavyotaka.nawavutia kasi na you tube hapa ni kula documentaries tu sasa hamna namna
Yes mm sijaona mambo mengi tofauti na mkono kwanza watu wengi wachina sijui japan wale wanazipiga tukama Badland vile maneno kidigo basi ngoja niishi nayo saiz hapa nitaangalia mchana jioni nitaleta majibu.