JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Queen sono ni trash usitamani kuangalia, nmeangali si muda season yote ya 1 story line ni nzuri ila acting ni mapicha picha tu

Makelela mengi during fights na ngumi nazo sizioni
Nishaisahau Jina niliipitia pia...[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Queen of the South....mbona ya kitambo sana...au ?
Namalizia Ozark, Season 3.
Lockdown inanilazimisha kurudi nyuma...
the wicher ndio ilikuwa ya mwisho saiz nikonamalizia vipolo vyangu tu maana unakuta unaagali kama trendstone kama hivyo imeisha unaweka pembeni mara baadaye imerudi tena kwahiyo ni vipolo tu ndio naangaika navyo.
 
The witcher nayo ni[emoji706] kidogo maana season 1 imeisha haieleweki kiviiile naona kila episode inarukaruka tu sielew
 
Back
Top Bottom