Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
😆 😆 😆 😆 unachoma maini tu.Ukiona mafua yanazidi unakata na baba lao (K vant) au mkubwa wao ( nyagi)
Sent using Jamii Forums mobile app
😆 😆 😆 😆 unachoma maini tu.Ukiona mafua yanazidi unakata na baba lao (K vant) au mkubwa wao ( nyagi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifate huku RUFANjoo hapa bocconi University Lombardy Milan tule raha mama
It's non of your concern.Maisha ya enzi za tiputip dah my Africa when will you grow?
Nimekaribia...upo?
Kama kawaidaaah kwahiyo hapo unakinga maji huku unapata huduma ya ubaridi!
Dawa mzee ukimchinjia mdudu au mbuzi maini yapo salama![]()
![]()
![]()
unachoma maini tu.
kwahiyo kulala hapo saa 9 sasa?Kama kawaida
Kama sio saa 10.kwahiyo kulala hapo saa 9 sasa?
dah umenikumbusha mbali sana mm pombe situmii lakini nina bro zangu ni tatizo hao jan mwaka huu tulichinja mbuzi tulikuwa tupo wa 5 tu huwezi amini yule mbuzi ilitupwa ngozi tu wali walipiga na hivyo vitu vyako vikali hata sikuamini liletukio.
😆 😆 😆 😆 leo nimehama nipo upande wa dirishani lakini jana niliogopa mpaka nikasema uliwaza nn kuotea vile embu nyosha maelezo kwanza bibie.Kama sio saa 10.
Pole nakuona umekaa pembeni ya mlango wa fridge... Joto litakuja liwababue mpaka akili
nenda kajenge ndoa mzee wangu uwe na usiku mwema.
😀😀😀 sina pasi hapa kuyanyoosha itakuwa ngumu mpaka jirani aamke nikaombe.😆 😆 😆 😆 leo nimehama nipo upande wa dirishani lakini jana niliogopa mpaka nikasema uliwaza nn kuotea vile embu nyosha maelezo kwanza bibie.
haya andika hayo maelezo basi 😆😆😆😆😆 maana ileilikuwa sio kuotea uliniona kabisa. 🙌🙌😀😀😀 sina pasi hapa kuyanyoosha itakuwa ngumu mpaka jirani aamke nikaombe.
😀😀😀 maelezo ni marefu simu yangu itaisha winohaya andika hayo maelezo basi 😆😆😆😆😆 maana ileilikuwa sio kuotea uliniona kabisa. 🙌🙌
aisee kweli we ni mtata ila siku shangai maana warembo wa AR ni wabishi na watata kinona nawajua vizuri sana.😀😀😀 maelezo ni marefu simu yangu itaisha wino
Watata kinona sio? Hahaaisee kweli we ni mtata ila siku shangai maana warembo wa AR ni wabishi na watata kinona nawajua vizuri sana.
😆 😆 😆 ni kinoma ✔ sio kinona ❌ typing errorWatata kinona sio? Haha
Unasinzia....ulale😆 😆 😆 ni kinoma ✔ sio kinona ❌ typing error