JamiiForums Usiku wa manane
Amna sio gharama unaweza tengeneza yako nilioja juzi hospitali moja hv walikuwa wanatengeneza nyingi tu ndio nikapewa chupa mbili hapo na nikaondoka na elimu pia ya kutengeneza sanitizer ila hiyo mbinu ya kwenda hospitali labda uwejirani na hospitali sasa hapo.
Tupe huo ujuzi na sisi pia tuevalauate kama somo limeeleweka vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom