To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,185
- 37,736
Onho,oana na wa mtaani kwenu anayekusumbuasumbua yule ila asiwe mwalimu☺️yupi huyo😅😅 nipo pekeangu ndo maana nakesha karibu kila siku
Onho,oana na wa mtaani kwenu anayekusumbuasumbua yule ila asiwe mwalimu☺️yupi huyo😅😅 nipo pekeangu ndo maana nakesha karibu kila siku
Kwann asiwe teacher 😂Onho,oana na wa mtaani kwenu anayekusumbuasumbua yule ila asiwe mwalimu☺️
😂😂akitop-up mkopo ndani mtachina …:kilasiku mtakula tusamaki tudogotudogo😆Kwann asiwe teacher 😂
Ila walimu au baasi😂😂akitop-up mkopo ndani mtachina …:kilasiku mtakula tusamaki tudogotudogo😆
Kilimo na mafuriko haya,msiba kilapahala….mazao mengi yamesombwa na maji😔Ila walimu au baasi
Sasa mahi mkopo si tutakua tumengizaa kwenye kilimo uhakika wa ugali upo
kwanini asiwe mwalimu dear,, wanashida gani niwaepuke kwa kishindo cha wakoma🤣🤣🤣Onho,oana na wa mtaani kwenu anayekusumbuasumbua yule ila asiwe mwalimu☺️