Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Tumejipanga kiongozi, huyo corona hana pa kuingilia hapaOoh there you are.
Daah huu uzi hauna watu kabisa
Njooni tulinde , corona hasije ingia
Beggars can't be choosers
Vipi kiongozi, ulifanikiwa kuzunguka na mask?Ilikuwa sio usiku ilikuwa ni saa 10 ya jioni nione ndio nilikuwa natest mitambo dah nichangamoto aisee ila hakuna namna kesho nakazi zakufanya mjini kwahiyo nilikuwa najaribu nitaweza zunguka nayo kesho kweli.
Saa ngapi?
Labda peke yako😃
Hahaha