JamiiForums Usiku wa manane
Usiku wote huu unavaa hilo dude la nini? Au unatest mitambo kwaajili ya kesho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa sio usiku ilikuwa ni saa 10 ya jioni nione ndio nilikuwa natest mitambo dah nichangamoto aisee ila hakuna namna kesho nakazi zakufanya mjini kwahiyo nilikuwa najaribu nitaweza zunguka nayo kesho kweli.
 
Back
Top Bottom