Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,594
- 13,422
Hilo jina langu maarufu la shule.😂
Aisee mimi leo kifurushi changu cha usingizi kimeunga mapema.
Hilo jina langu maarufu la shule.😂
Hilo jina langu maarufu la shule.
Aisee mimi leo kifurushi changu cha usingizi kimeunga mapema.


kwa nini uliitwa hivyo mkuu. Nafurahi kusikia hivyo. Hapa kwema kama unavyoona. Wadau wengi washatepeta mida hii.
Nafurahi kusikia hivyo. Hapa kwema kama unavyoona. Wadau wengi washatepeta mida hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huku kuna wagumu? 😀
Duh

Dah nimejaribu vaa mask jioni hapa napata joto la hatari usoni
Huyo uwanachama hawezi kufutwa
Aah wapi napita free kabisa tena nakuwa verified memberLazima nikuletee utemi, huongii kama mchafu humu labda usubirie fungulia mbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
