JamiiForums Usiku wa manane
Wewe hujaalikwa maulid? Maana jamaa zako hapa wana maulid wamenifanya niwe mlinzi wa kujitolea leo.
Ila si mbaya mcha




Wewe hujaalikwa maulid? Maana jamaa zako hapa wanakesha wamenifanya niwe mlinzi wa kujitolea leo.
Hilo jambo la uzushi katika hii dini yetu, kwahiyo ukiwaona watu wanapoteza muda katila hilo, jambo kama ni mtu wa imani unatakiwa kuwaonea huruma na kuwaombea uongofu kwa Mola wao, sababu hawalipwi zaidi ya kupoteza muda na kama wanajua wanachokifanya kwamba hakifai basi wanapata madhambi.
 
Mshahara wangu boss....!
Sijalipwa tangu mwaka huu uanze au mshahara wangu umeupeleka chamani kuunga mkono juhudi?



Sent using Jamii Forums mobile app
Thad,Nimepitia hapa mahudhurio yako mwaka jana AWOL zimekuwa nyingi sana....Rekebisha hiyo. Kuhusu mshahara mbona tangu tar.15 tayari wenzio wamepata itabidi uje ofisini km una shida!
 
Back
Top Bottom