Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Thanks for the advice dearDont just wish ifike pahala uamue boo uone kama kitakulipa uendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks for the advice dearDont just wish ifike pahala uamue boo uone kama kitakulipa uendelee
[emoji23][emoji23][emoji23] Nasubiria zile snap zako na kejeri unazonipaga lakini mwisho wasiku unakuwa nahuruma lakini tutaongea nije nitie hasara wala usijali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbali kabisa uani maana dah
Sema kesho nna kazi ya kutengeneza maji ya yanga
Karibu
Aaah babu weeeh huruma hiyo ya aina gani[emoji23][emoji23][emoji23] Nasubiria zile snap zako na kejeri unazonipaga lakini mwisho wasiku unakuwa nahuruma lakini tutaongea nije nitie hasara wala usijali.
Wasalimie.Aaah babu weeeh huruma hiyo ya aina gani
Ebu niache m nalala
Aliokuuliza mchizi wakoUnataka ukweli upi sasa nielezee mzee wangu [emoji4]
Utanikuta hapo getini ndio utaishiwa pozi kabisaKama we ndio get keeper basi sitaingia mbinguni [emoji23]
Tena ndio nitafurahi nitaingia bila tiketi getini nitapita bure kabisa.Utanikuta hapo getini ndio utaishiwa pozi kabisa
Achana na huyo mwamba ni magumashi tu.Aliokuuliza mchizi wako
Hv vitu tusijipe stress sana tutapanda mlima au kuvuka daraja pale tutakapo kuwa kumekaribia.Nimejikunyata kwenye shuka nikiwaza Corona itakavyokatisha ndoto za vijana[emoji22][emoji22][emoji22]
Usingizi hautafutwi kwa kukaa..Ngoja nikae hapa niutafute usingizi.
Hapa hautolala sasa maana nikama unaangalia CNN au BBC vile habari haziishi kila saa zina kuwa updated.Ngoja nikae hapa niutafute usingizi.
Niaje babu?