Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Baridi la huku sio la kitoto aiseee nimepamisi sana banana republicGud tu babu.
Baridi la huku sio la kitoto aiseee nimepamisi sana banana republicGud tu babu.
Wapi upo buddy?Baridi la huku sio la kitoto aiseee nimepamisi sana banana republic
Ughaibuni tu boss.Wapi upo buddy?
Adam silver saiz katuongezea muda wa kulala? Mashabik wa NBA.



Kibonge lala! Una mawazo gani hadi saa hizi hujalala?



Tumepigwa lockdown no travels. Ukisafiri ukirudi unapigwa quarantine 14 days. Ila natamani sana nirudi nikae hata 2 weeks.Mzee wangu hii covid ni kisanga kweli yaan vp unarudi nyumbani kumenoga au utapambana tu na hawa virus?
Alisema kama mambo yakiwa mabaya sana game zitaanza playoff ilikufidia muda uliopotea.Ughaibuni tu boss.
Silver kafanya yake alafu season ndio ilikuwa inaelekea kutamu aisee!
Unataka ukweli upi sasa nielezee mzee wangu

Kama we ndio get keeper basi sitaingia mbinguni
