Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Gud to hommie.
Gud to hommie.
Kwahiyo saiz hata zile romance kiss hazipigiki kwayule kichuna? [emoji23] Ajitena kula epe siku hizi?Tumepigwa lockdown no travels. Ukisafiri ukirudi unapigwa quarantine 14 days. Ila natamani sana nirudi nikae hata 2 weeks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizani kama wanamuda hata wakuingia humu saiz.Tulioko Mlimani City kwa Harmonize tusalimiane.
Sizani kama wanamuda hata wakuingia humu saiz.
[emoji23][emoji23] Wasafi TV wamegoma kuonesha niko nimeswitch TV E sina tofauti na mtu aliekuepo Mlimani City anachokiona na mm naona vile vile tu.Hahaha, kama ukumbini huna unayemjua unajikuta inabidi ujumuike na JF tu, bia zenyewe bei sana humu.
Halafu dogo niliyekuja naye anajifanya yuko busy kucheza.
[emoji23][emoji23] Wasafi TV wamegoma kuonesha niko nimeswitch TV E sina tofauti na mtu aliekuepo Mlimani City anachokiona na mm naona vile vile tu.
Kwahiyo uko chini ya ulinzi hapo ulipo? [emoji23][emoji23]Mkuu kuna warembo humu, usicheze kabisa. Maana muda wote nachungwa nisigeuke geuke.
[emoji41]Nimo
Ungepigwa na ile radi ingekuaje[emoji41]
[emoji23][emoji23] Acha uchawi sema next time nakuja na Lita 5 au unasemaje?Ungepigwa na ile radi ingekuaje
Poa vp ww?
Acha ufala ww nitakuua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha uchawi sema next time nakuja na Lita 5 au unasemaje?
Mrembo wetu vo mafuriko huko yaliisha?!
Poa vp ww?
Kamvua kapo huku nilipo tunatamani mvua inyeshe mazao yakue , hatukuwa affected na mafuriko .Mrembo wetu vo mafuriko huko yaliisha?!
Ahaaa yakikua tupeane msaada wa mahindi mabichi[emoji23]Kamvua kapo huku nilipo tunatamani mvua inyeshe mazao yakue , hatukuwa affected na mafuriko .
🤦 Haha ngoja nijifunze hata kulima hukuAhaaa yakikua tupeane msaada wa mahindi mabichi[emoji23]