HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Gud tu mwamba.
Lazima nikuletee utemi, huongii kama mchafu humu labda usubirie fungulia mbwaTena ndio nitafurahi nitaingia bila tiketi getini nitapita bure kabisa.


Member wako lakini. Ukimkandia utakosa mwanachamaAchana na huyo mwamba ni magumashi tu.
Sijui hata imekuwaje. Unajua hii app ya JF kwa simu sioini poc. So katika kufanya makaratee ndio nkaitoa. Halafu nilishadelete hapa naitafuta niirejeshe man.Dude ile avatar ya bucks mbona umeitoa sasa? Drizzle
Hapa hakuna kulala unatakiwa kuwa na kinywaji chako tu. Ni story hadi kunakuchaNgoja nikae hapa niutafute usingizi.
I'm ready for whatever situation that appears will go along withHv vitu tusijipe stress sana tutapanda mlima au kuvuka daraja pale tutakapo kuwa kumekaribia.
Kabisa mazee. Na story zikichanganya ndio balaa. Kikubwa uwe na kinywaji chako basiHapa hautolala sasa maana nikama unaangalia CNN au BBC vile habari haziishi kila saa zina kuwa updated.
Ile Ile mzee.....niaje mkulungwa
Mbona mapema sana.Naenda kulala.


hilo jina lako limenichekesha sana