Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Hapa kanuni Ni tofauti unalipia unakula..hulipii utaishia kunawa..Bora ukale kwa mama ntilie.mm huwa nalipa kutokana na gharama nitakazo zikuta nikikuta kuku naweka 20 hapo mezani kurudishia ule mfuko uliotoa hapo hiyo hela.
Sent using Jamii Forums mobile app