JamiiForums Usiku wa manane
Ninafikiri upo.
Maana toka mchana mc anasema "nkija kumtunza mtoto baada ya kusoma au kutoa mada mnaacha 1,000 ya mwalimu ya kumkomboa mtoto"
hv hawa ma mc wanatakaga nn unakuta shughuli imepamba yy anataka hela tu mezani.
 
THE FULANI CREATION STORY

At the beginning there was a huge drop of milk
Then Doondari (God) came and he created the stone.

Then the stone created iron;
And iron created fire;
And fire created water;
And water created air.

The Doondari descended a second time. And he took the five elements
And he shaped them into man.
But man was proud.

Then Doondari created blindness and blindness defeated man.
But when blindness became too proud,
Doondari created sleep, and sleep defeated blindness;
But when sleep became too proud,
Doondari created worry, and worry defeated sleep;
But when worry became too proud,
Doondari created death, and death defeated worry.

But when death became too proud,
Doondari descended for the third time,
And he came as Gueno, the eternal one
And Gueno defeated death.
 
Ya 3 ni toka 2010 inamaana una games kama 6 haujazicheza ikiwepo ya 2018 jitahidi inayotoka mwaka huuu nahisi uicheze
Muda wa kucheza sasa ndio hakuna mwaka mzima unafanya kazi tu hata huo mpila sijacheza na mwaka sasa wana kila weekend wananiita kigamboni na wapromise nakuja lakini sijawahi tokea hata siku moja.

ww umecheza mpaka ngapi mm navutiwa sana na story mode za God of War.
 
Maya Angelou
ef3eb089dce60cea27af0c077a331778.jpeg
 
Kumbe ni kawaida sikuwa najua hilo, ila huyu kanshangaza sana anasema kumkomboa mtoto mara wazazi wamtunze mwalimu wa mtoto kuanzia 1,000 na kuendelea

Yaani kila mda a nakumbusha.
Inaelekea asipokumbushia hizo buku buku hawazipati.

Hii inaonyesha hali ngumu sana mtaani wazazi hawana hela maustadh wanataka hela.
hv hawa ma mc wanatakaga nn unakuta shughuli imepamba yy anataka hela tu mezani.
 
Muda wa kucheza sasa ndio hakuna mwaka mzima unafanya kazi tu hata huo mpila sijacheza na mwaka sasa wana kila weekend wananiita kigamboni na wapromise nakuja lakini sijawahi tokea hata siku moja.

ww umecheza mpaka ngapi mm navutiwa sana na story mode za God of War.
Sijalicheza sana mm nmecheza sana devil may cry mpaka ya mwisho, na black list
 
We keep behind closed doors
Every time I see you, I die a little more
 
Back
Top Bottom