Hatarious sana......
[emoji120] indeed
Sasa huo msimbazi si Bora utoe kwa ajili ya kununua viungo na vitu vingine..Tena chakula ulichogharamia unakula kwa Uhuru kuliko usichogharamiaKula hata sijala nilipie bill kweli wakati wakuondoka ningeacha msimbazi mezani hapo kama zawadi na shukurani zangu.
Niaje Kratos.[emoji120] indeed
[emoji23][emoji23] kabisa hii offer itakufaa simissHahaha hajiwe,i aje apate soup ya brocoli
mm huwa nalipa kutokana na gharama nitakazo zikuta nikikuta kuku naweka 20 hapo mezani kurudishia ule mfuko uliotoa hapo hiyo hela.Sasa huo msimbazi si Bora utoe kwa ajili ya kununua viungo na vitu vingine..Tena chakula ulichogharamia unakula kwa Uhuru kuliko usichogharamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee unamjua huyo mtu kwenye avatar yangu hapo [emoji119]Niaje Kratos.