Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Ooh vizuriI'm gud.
Ooh vizuriI'm gud.
karibu lindoni mkuuNipo ...
Nani mwenyewe huo uwezo mzee wangu kama sio moderate huyoNani kabadilisha jina la uzi wangu? Walinzi mpo wapi Jina la kambi linabadilishwa bila Taarifa....kuna dalili za utekaji hapa sio bure tuwe macho jamani.



Ni kwanini wamebadilisha after all those days!hawa mods nao vitu vingine wanafanya lakini sioni mantiki yake hata kidogo,hii italeta usumbufu sana kwenye kusearch kwani wengi wamezoea J.F.Usiku wa manane...Mods,sidhani mi niliandika J.f. Usiku wa manane yeye kabadilisha.Nahisi mtekaji nyara huyu narudia tena tuwe makini na lindo.
Wacha nitege mabomu tu kama vp tuwalipue wakija tena.Mods,sidhani mi niliandika J.f. Usiku wa manane yeye kabadilisha.Nahisi mtekaji nyara huyu narudia tena tuwe makini na lindo.
Mimi nina uhakika huyu sio mod,hili tukio sio la kwanza kutokea nadhani wana mpango wa kuupoteza huu uzi....Sijui unawakera nini nashindwa kuwaelewa. Kuna mtu alishaanzisha uzi kam huu humu Alipewa vitasa hapa Akapotea nadhani ndio hawahawa wahuni.Ni kwanini wamebadilisha after all those days!hawa mods nao vitu vingine wanafanya lakini sioni mantiki yake hata kidogo,hii italeta usumbufu sana kwenye kusearch kwani wengi wamezoea J.F.Usiku wa manane...
Sent using Jamii Forums mobile app
MOD huwa wanafanya wanavyo jisikia na hawaombi hataushirikiano wakiamua lao ndio hivyo hivyo huu sio uongozi bora kabisa.Ni kwanini wamebadilisha after all those days!hawa mods nao vitu vingine wanafanya lakini sioni mantiki yake hata kidogo,hii italeta usumbufu sana kwenye kusearch kwani wengi wamezoea J.F.Usiku wa manane...
Sent using Jamii Forums mobile app